Tulikuwa tunapendana mbaya sana

Mimi naye kila time, hatunge achana

At first, life ilikuwa just as usual

Sikujua ita end up kukuwa this brutal

 

Since the first time tulicheza safe

So cautious, none of us wanted to mess

But then ikahappen, without us knowing

A shock to us, it had started growing

 

Our love was no longer a feast, no longer at ease

Full of fear and confusion, tuliwaza na kuwazua

Ni nini tungefanya our life irudi at peace

Hatukua ready, hatukua sure, foolishly tulichukua hatua

 

It didn’t take time, by jioni shughuli ilikamilishwa

She was weak and nauseous, but all is well tuliambiwa

We were not proud of it, but ilibidi tumego on

Sadly, kitu ilihappen next hio no one alituwarn

 

Ilikuwa morning, kitu 5 hivi, giza ikiondokea nuru

Nilistuka kwa usingizi kurahushwa na nduru

Haraka kwa bed nilitoka kuconfirm na kukuwasure

But waaah, vile nilifika bathroom, what I saw ilinishtua

 

Kwa floor alikuwa amelie, akibleed nakubreath her last

In shock and deep confusion, I feared the worst

My heart beating fast, quickly nilimtoa kwa keja

Teke sana her life to save, nikamkimbiza hosi bila kungoja

 

Together for a year, future yetu ilikuwa so clear

kufika hosi, ilikuwa inadidimia

Manurse walikimbia, kwa bed wakamtia

Madocy wakajikakamau, life yake kusave na kila njia

 

But dunia haina huruma, life yake ilichukua

It happened so suddenly, no longer hakuwa

I can’t describe the pain, but nililia kuliko mvua

It happened so suddenly, I wish ningejua

 

My heart and soul in tears, life was so unfare

Viciously taking her away without a care

Her suffering, pain, and death to think, I couldn’t even dare

It all happened so suddenly, a great loss I couldn’t bear

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s