Just a Bunch of Hearsays

He said, she said, what do I got to say It’s either him or her, each and every day It’s either this or that, this is what is all about He said, she said, just a bunch of hearsays   Leo nayo nimeamua kuoppose this Zile jamaa, daily on toes, kugossip A bunch of fools,…

Advertisements

Hurry, Hurry, We Hurry

Hurry, hurry, we hurry, to get to our little houses For darkness lingers behind us For the night is chilly and full of terrors Hurry, hurry, we hurry, away to get from all the horrors   Giza imeingia, bizna tumefungua Time ya raiya kuungua Wanaume sita tumejihami, already an army, kupigana vita Wakati inapopita, ndivo…

The Bitch was a Whore

Mimi ni kijana tu ordinary Kama kawa nimejaa morali Kijana baro baro halisi Wananijua kinahamisi   Leo nachukua hifursa kueducate mafisi Raiya imezoea kufwata kamisi Hii story ilihapen alhamisi So, wacha nianze rasmi   Tulipatana kwa baro Nikamshow naitwa rasGavoz Jamaa mwenye mapoz Mnoma ka Rambo Akabambika na my flow On and on tuka go…

Lesson Learned

So, sato niliamka bila form Indoors, nikasema leo sidai kuroam Kutulia tu kiasi, nikaskia phone Nganya ya me inanicall   Kakanishow, “home kuna party” “Pilau kwa wingi na machapati” Heee, kusikia ati party? Machapati? Mimi huyo, trao, viatu na shati   So, kwa matt nikaelekea kwao kejani Kakanipick tukaingia ndani Masalamu, nikaketi, yangu nikaletewa sahani…

It Happened so Suddenly

Tulikuwa tunapendana mbaya sana Mimi naye kila time, hatunge achana At first, life ilikuwa just as usual Sikujua ita end up kukuwa this brutal   Since the first time tulicheza safe So cautious, none of us wanted to mess But then ikahappen, without us knowing A shock to us, it had started growing   Our…